USHUHUDA: Mimba ya utotoni ilivyoharibu ndoto za elimu za binti huyu

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=txXdczmkIyY



Duration: 3:00
138 views
1


Mkoa wa Njombe ni moja ya mikoa iliyoathirika na tatizo la mimba za utotoni hivyo walimu na wazazi wako katika kufanya jitihada za kupunguza tatizo hilo ikiwemo utolewaji wa elimu kwa wanafunzi wa elimu ya msingi.
Je, walioathirika kwa tatizo hilo wanasemaje?
Huu ni mfano wa mmoja wao.







Tags:
Mimba za utotoni
Maisha
Elimu na mimba za utotoni
Haki
Sheria
Ndoa za utotoni
Ubakaji