TRA yatishia kupiga mnada mabasi ya "mwendokasi" yaliyoko bandarini

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=PQef0HpVQM4



Duration: 3:42
686 views
5


Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesema itayauza kwa mnada mabasi 70 ya mwendo wa haraka ambayo yamenasa bandarini jijini Dar es Salaam baada ya waagizaji wa mabasi hayo kushindwa kuyalipia kodi stahiki huku kampuni hiyo na TRA zikiendelea na majadiliano ya ziada juu ya malipo hayo baada ya muda wa kisheria wa siku 90 kumalizika.




Other Videos By Azam TV


2019-10-22Mtambo wa vichuja hewa ya magari wasimikwa Arusha
2019-10-22MORNING TRUMPET: Siri ya mafanikio ya makusanyo ya mapato TRA
2019-10-22LIVE | ADHUHURI LIVE AZAM TV 22/10/2019
2019-10-22MORNING TRUMPET: Manufaa ya mkutano wa 58 wa shirikisho la mashauriano ya kisheria Asia, Afrika
2019-10-22MORNING TRUMPET: Kinachojiri mkutano wa Mawaziri wa nchi za #SADC Jijini Arusha
2019-10-22DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO – AZAM TV 22/10/2019
2019-10-21Unalijua 'PANGO LA MAKASI'? Historia ya kuvutia na kustaajabisha
2019-10-21Makamu wa Rais aishauri AALCO kutazama misingi ya sheria zake ili kusaidia amani
2019-10-21UCHAMBUZI: Dar es Salaam, Dodoma vinara ukusanyaji mapato, Kigoma yaburuza mkia
2019-10-21Mama wa bilionea Msuya aondoa kesi mahakamani ili kutafuta suluhu kifamilia
2019-10-21TRA yatishia kupiga mnada mabasi ya "mwendokasi" yaliyoko bandarini
2019-10-21Bashiru Ally akiri kuwepo kwa dosari za kuwapata wagombea wa CCM
2019-10-21LIVE | HABARI - AZAM TV 21/10/2019
2019-10-21LIVE | ALASIRI LOUNGE - AZAM TV 21/10/2019
2019-10-21Azam FC yamtangaza Aristica Cioba kuchukua mikoba ya Ndayiragije
2019-10-21Mahakama ya Rufaa yaanza vikao Tabora, mashauri 30 kutolewa maamuzi
2019-10-21Mikataba yote ya wakandarasi ambao miradi yao haijakamilika kufutwa Ruvuma
2019-10-21Dar kinara wa ukusanyaji wa mapato, yakusanya Sh39.5 bilioni
2019-10-21LIVE | ADHUHURI LIVE AZAM TV 21/10/2019
2019-10-21LIVE - MKUTANO WA 58 WA SHIRIKISHO LA MASHAURIANO YA KISHERIA LA ASIA NA AFRIKA
2019-10-21DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO – AZAM TV 21/10/2019



Tags:
TRA
Tanzania Revenue Authority
Kayombo TRA