Ajali ya ndege yaua 189

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=sTrloq779Xs



Duration: 1:00
3,472 views
12


Watu 189 wamepoteza maisha leo baada ya ndege ya abiria ya Shirika la Lion Air aina Boeing 737 ya nchini Indonesia kuanguka baharini muda mfupi baada ya kupaa kutoka ktk uwanja wa ndege mjini Jakarta Indonesia, ndege hiyo ilikuwa imebeba Watu 189 na chanzo cha kuanguka kwake bado hakijajulikana.




Other Videos By Azam TV


2018-10-29Samia amaliza ziara Pwani awataka wawekezaji kutafuta masoko ndani na nje
2018-10-29Tanzania yaiomba China kuendeleza msaada katika sekta ya afya
2018-10-29Mkapa akamilisha awamu ya 5 ya usuluhishi Burundi, Serikali bado yagomea kikao
2018-10-29Ndege zisizo na rubani 'Drones' kutumika kusambaza dawa Kanda ya Ziwa
2018-10-29Stephen Masele aunga mkono kutungwa sheria ya kuwapa watoto haki ya chakula
2018-10-29Ugonjwa wa KIHARUSI wazidi kuongezeka Tanzania, wananchi watahadharishwa
2018-10-29STAND UNITED 0-1 MWADUI FC; HIGHLIGHTS (TPL - 29/10/2018)
2018-10-29MAGOLI: AFRICAN LYON 1-1 BIASHARA UNITED (TPL - 29/10/2018)
2018-10-29Goli pekee la Mwadui FC; Stand United 0-1 Mwadui FC (TPL - 29/10/2018)
2018-10-29HIGHLIGHTS & INTERVIEWS: ALLIANCE FC 1-1 COASTAL UNION (TPL - 28/10/2018)
2018-10-29Ajali ya ndege yaua 189
2018-10-29Wafanyabiashara Zanzibar waomba mafunzo
2018-10-29Isaac Gamba aagwa na mamia ya Watanzania
2018-10-29Rais Magufuli ‘awakosha’ wakulima wa korosho
2018-10-29Kliniki ya magonjwa mbalimbali yaendeshwa Zanzibar
2018-10-29RUVU SHOOTING 0-5 SIMBA SC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 28/10/2018)
2018-10-29Kigwangala awatoa hofu wapiga kura wake, waganga na wazee wa jadi wanena
2018-10-29MAGOLI: ALLIANCE FC 1-1 COASTAL UNION (TPL - 28/10/2018)
2018-10-29MAGAZETI: Ishu ya Mo Dewji yarejea tena, Samia agomea kituo cha mabasi Pwani
2018-10-28SPORTS AM 28/10/2018: Mwanamtwa Kihwelo na skendo za kuihujumu Simba
2018-10-28MAGOLI YOTE: RUVU SHOOTING 0-5 SIMBA SC (TPL - 28/10/2018)



Tags:
Azam Tv
Azam TWO
Azam Tv App
Azam TV Habari
Habari Azam TV