MAGOLI: AFRICAN LYON 1-1 BIASHARA UNITED (TPL - 29/10/2018)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=rchUQTQEkyk



Duration: 1:45
963 views
6


Mzimu wa sare umeendelea kuiandama Biashara United baada ya leo kutoshana nguvu na African Lyon katika mchezo wa Ligi Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Wageni Biashara United ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 59 kabla ya super sub Ismail Gambo kusawazisha dakika ya 70.
Haya hapa magoli yote.







Tags:
Tanzania Premier League
Soka
soccer
football
Tanzania
michezo
ligi
ligi kuu
Azam
Azam TV
Azam TV App
Goli
bao
magoli
mabao
goals
Biashara United
African Lyon
African Lyon vs Biashara United