Goli pekee la Mwadui FC; Stand United 0-1 Mwadui FC (TPL - 29/10/2018)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=0YKpPt3Vmgc



Duration: 0:57
826 views
3


Timu ya Mwadui FC imeapata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa soka la Shinyanga Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.

Bao pekee la Mwadui limefungwa na Ibrahim Nasser Irakoze dakika ya 27 akimalizia pasi ya Charles Ilanfya.




Other Videos By Azam TV


2018-10-29Museveni awataka polisi kutopiga raia ila ikibidi wawapige
2018-10-29Kaya 800, vitongoji vitano vyategemea bomba 1 wilayani Babati
2018-10-29Samia amaliza ziara Pwani awataka wawekezaji kutafuta masoko ndani na nje
2018-10-29Tanzania yaiomba China kuendeleza msaada katika sekta ya afya
2018-10-29Mkapa akamilisha awamu ya 5 ya usuluhishi Burundi, Serikali bado yagomea kikao
2018-10-29Ndege zisizo na rubani 'Drones' kutumika kusambaza dawa Kanda ya Ziwa
2018-10-29Stephen Masele aunga mkono kutungwa sheria ya kuwapa watoto haki ya chakula
2018-10-29Ugonjwa wa KIHARUSI wazidi kuongezeka Tanzania, wananchi watahadharishwa
2018-10-29STAND UNITED 0-1 MWADUI FC; HIGHLIGHTS (TPL - 29/10/2018)
2018-10-29MAGOLI: AFRICAN LYON 1-1 BIASHARA UNITED (TPL - 29/10/2018)
2018-10-29Goli pekee la Mwadui FC; Stand United 0-1 Mwadui FC (TPL - 29/10/2018)
2018-10-29HIGHLIGHTS & INTERVIEWS: ALLIANCE FC 1-1 COASTAL UNION (TPL - 28/10/2018)
2018-10-29Ajali ya ndege yaua 189
2018-10-29Wafanyabiashara Zanzibar waomba mafunzo
2018-10-29Isaac Gamba aagwa na mamia ya Watanzania
2018-10-29Rais Magufuli ‘awakosha’ wakulima wa korosho
2018-10-29Kliniki ya magonjwa mbalimbali yaendeshwa Zanzibar
2018-10-29RUVU SHOOTING 0-5 SIMBA SC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 28/10/2018)
2018-10-29Kigwangala awatoa hofu wapiga kura wake, waganga na wazee wa jadi wanena
2018-10-29MAGOLI: ALLIANCE FC 1-1 COASTAL UNION (TPL - 28/10/2018)
2018-10-29MAGAZETI: Ishu ya Mo Dewji yarejea tena, Samia agomea kituo cha mabasi Pwani



Tags:
Tanzania Premier League
Soka
soccer
football
Tanzania
michezo
ligi
ligi kuu
Azam
Azam TV
Azam TV App
Goli
bao
magoli
mabao
goals
Mwadui FC
mwadui
Stand United vs Mwadui FC
Shinyanga
Ibrahim Irakoze
Ilanfya