Stephen Masele aunga mkono kutungwa sheria ya kuwapa watoto haki ya chakula

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=3f6rq37Lkb8



Duration: 1:23
689 views
3


Makamu wa kwanza wa rais wa Bunge la Afrika, Stephen Masele amechangia mjadala wa kutungwa kwa sheria ya Umoja wa Mataifa ya kuhakikisha chakula na lishe bora inakuwa ni haki ya msingi kwa watoto wakati wa mkutano wa Bunge la Dunia uliofanyika nchini Hispania.







Tags:
Stephen Masele
Chakula na Lishe
FAO
Umoja wa Mataifa
Bunge la Afrika
Bunge la Dunia
Mkutano wa Bunge la Dunia