Samia amaliza ziara Pwani awataka wawekezaji kutafuta masoko ndani na nje

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=Ou7A1ZYR9tU



Duration: 3:13
141 views
0


Makamu wa rais, Samia Suluhu amewataka wawekezaji kutumia fursa zilizopo za masoko ya biashara zao na kujitangaza zaidi.
Makamu wa Rais Samia ameyasema hayo wakati akikamilisha ziara yake mkoani Pwani.







Tags:
Samia Suluhu Pwani
Wajasiriamali Tanzania
Biashara
Uwekezaji
Wawekezaji Tanzania
Siasa