Ndege zisizo na rubani 'Drones' kutumika kusambaza dawa Kanda ya Ziwa

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=WpTx0rgITBo



Duration: 3:39
350 views
4


Serikali ya mkoa wa Mwanza inajipanga kuanza kutumia ndege zisizo na rubani katika mradi unaosaidiwa na Benki ya Dunia wa kusambaza dawa na sampuli katika maeneo yasiyofikika kwa urahisi kwa kutumia njia nyingine za usafiri zikiwemo malori.







Tags:
Atashasta Nditiye
Teknolojia
Drones
RC Mongela
RC Mwanza
Afya
Matibabu kwa drones
Usambazaji dawa Mwanza
Benki ya Dunia