Mkapa akamilisha awamu ya 5 ya usuluhishi Burundi, Serikali bado yagomea kikao

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=1AzgFrdOm9c



Duration: 3:00
148 views
0


Rais mstaafu wa Tanzania na msuluhishi wa mgogoro wa Burundi, Benjamin Mkapa amemaliza awamu ya tano ya mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa kisiasa nchini Burundi huku Serikali ya nchi hiyo ikikataa kutuma mwakilishi kwenye kikao hicho.







Tags:
Burundi
Mgogoro wa Burundi
Pierre Nkurunziza
Benjamin Mkapa
Usuluhishi Burundi
Wakimbizi wa Burundi
Vita Burundi
Mapigano Burundi
Mauaji Burundi
Siasa Burundi
Upinzani Burundi
Waasi Burundi
Serikali Burundi
UNHCR Burundi
UN Burundi
Umoja wa Mataifa Burundi