MORNING TRUMPET: Zifahamu kanuni za mafanikio

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=rS0YV6j8Lxs



Duration: 19:07
195 views
3


Tafsiri ya mafaninio inauwanja mpana sana...hutofautiana kutoka eneo moja na jingine, mtu mmoja na mwingine.

Wewe unaweza kutafsiri mafanikio kwa kujenga nyumba, lakini jamii inayokuzunguka ikakutafsiri vinginevyo. Swali ni je? ni ipi tafsiri halisi ya maendeleo? Mchambuzi wetu anakupitisha katika njia mbalimbali ambazo zitakuhakikishia maendeleo ya jumla, kwa muda muafaka.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari
Azam Sports2
Morning trumpet