Zaidi ya Wanafunzi 200 wanasomea chini ya mti

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=bwSqsFREXjI



Duration: 2:54
250 views
0


Zaidi ya Wanafunzi 200 wa Shule ya Msingi Budalabujiga B iliyopo Bariadi Mkoani Simiyu wanalazimika kusomea chini ya miti kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa.
Shule hiyo inayopaswa kuwa na vyumba vya madarasa 21 kwa sasa ina jumla ya vyumba Sita pekee na hivyo kuwa na upungufu wa vyumba 15 huku ikiwa na jumla ya wanafunzi 1500.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari
Adhuhuri Live
Msingi Budalabujiga B
uhaba wa nadarasa