Uharibifu Uwanja wa Karume, mashabiki na wadau waicharukia CCM Mara

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=3oENxxC9aJE



Duration: 2:18
1,661 views
11


Mashabiki na wadau wa soka wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara wameulalamikia uongozi wa CCM mkoani humo kwa kuruhusu kufanyika kwa tamasha la muziki kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume ambao unatumiwa na timu ya Biashara United kwa mechi za Ligi Kuu Soka Tanzania Bara.







Tags:
soka
Biashara united
Mara
Karume
Uwanja wa Karume
Musoma
CCM
Matayo
Uharibifu
Tamasha
muziki
uwanja
fiesta