MAGOLI YOTE: MBAO FC 2-2 MBEYA CITY; (TPL - 30/10/2018)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=AtXK7v2dRzE



Duration: 3:50
15,553 views
24


Timu ya Mbao FC imelazimika kutoka nyuma na kusawazisha mabao mawili iliyokuwa imefungwa na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.

Katika mchezo mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza, Mbao ikiwa mwenyeji, Mbeya City imetangulia kupata bao dakika ya 12 kupitia kwa Iddy Selemani Nado, kabla ya Eliud Ambokile kuifungia bao la pili dakika ya 48.

Akitokea benchi, Evarigistus Mujwahuki ndiye aliyeifungia Mbao FC mabao yote mawili dakika ya 83 na dakika ya 90+4.

Haya hapa mabao yote.







Tags:
Tanzania Premier League
Soka
soccer
football
Tanzania
michezo
ligi
ligi kuu
Azam
Azam TV
Azam TV App
Goli
bao
magoli
mabao
goals
Mbao FC vs Mbeya City
Mbao
Mbeya City
Ambokile