Rafu aliyochezewa Eric Kyaruzi wa Mbeya City na golikipa wa Mbao (TPL - 30/10/2018)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=GM3AfqlD1Eg



Duration: 1:04
887 views
1


Tazama alichokifanya golikipa wa Mbao FC Hashim Musa kwa mchezaji wa Mbeya City Eric Kyaruzi. Je, una lipi la kusema?

FT : Mbao FC 2-2 Mbeya City.

Ni kwenye mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo Oktoba 30, kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.







Tags:
Foul
rafu
Hashim Musa
Eric Kyaruzi
Tanzania Premier League
Soka
soccer
football
Tanzania
michezo
ligi
ligi kuu
Azam
Azam TV
Azam TV App
Mbao vs Mbeya City