Serikali Kilimanjaro yaomba wadau kuchangia Chuo kikuu pekee cha ushirika

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=kl9BjbfCK8o



Duration: 1:17
318 views
6


Serikali mkoani Kilimanjaro imewataka wadau wa sekta ya ushirika nchini kuchangia katika maendeleo ya sekta hiyo kwa kuimarisha miundombinu ya Chuo kikuu pekee cha ushirika nchini kilichopo mkoani Kilimanjaro.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari
Adhuhuri Live