Mamia walivyouaga mwili wa Mtangazaji Isaac Gamba, Dar

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=nJYCLHsn0Vk



Duration: 3:28
419 views
2


Mwili wa aliyekuwa Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio DW ya Ujerumani, Isaac Gamba ambaye amefariki dunia akiwa nyumbani kwake Bonn, Ujerumani Oktoba 18 mwaka huu, umeagwa jijini Dar es Salaam.

Shughuli ya kuuaga mwili wa Gamba zimefanyika katika viwanja vya Hospitali ya Lugalo na mazishi yanatarajiwa kufanyika wilayani Bunda mkoani Mara.

Wakaazi wa Jiji la Dar es Salaam na Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wamehudhuria tukio hilo na kutoa heshima zao za mwisho.







Tags:
Gamba
msiba
Dar
lugalo
Isaac Gamba
mwanahabari
DW
Ujerumani