Tazama oparesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara barabarani ilivyofanikiwa Morogoro

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=3A7sdiZqhhk



Duration: 3:12
303 views
2


Zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara pembezoni mwa barabara za kuingilia mjini Morogoro limefanikiwa mara baada ya operesheni hiyo kufanyika asubuhi na jioni ili kuhakikisha watumiaji wa barabara hizo wanakuwa salama.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Regina Chonjo alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake wakati alipokuwa akitoa tathmini ya zoezi hilo lililoanza hivi karibuni.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari
Adhuhuri Live
Morogoro