Waziri Mkuu kufumua 'madudu' Tanga

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=WtWmOcqCaHw



Duration: 1:00
2,830 views
7


Waziri mkuu, Kassim Majaliwa leo, Jumanne anatarajiwa kuanza ziara yake ya siku tatu mkoani Tanga ambapo pamoja na mambo mengine atatembelea wilayani Mkinga kwenye eneo la Uwekezaji wa viwanda sambamba na kutembelea wilayani Lushoto kwenye Kiwanda cha Chai cha Mponde ambacho kilifungwa tangu mwaka 2013.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari
Adhuhuri Live
Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa