YANGA SC 1-0 LIPULI FC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 30/10/2018)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=8pDOJmwp7xU



Duration: 28:55
86,755 views
167


Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara Yanga SC wameendeleza rekodi ya ushindi kwenye Dimba la Taifa Dar es salaam, safari hii wakiichapa Lipuli FC bao 1-0.

Bao pekee la yanga limetiwa nyavuni na mshambuliaji wake Heritier makambo dakika ya 10 akimalizia pasi safi ya Mrisho Ngasa baada ya makossa ya beki wa Lipuli.







Tags:
Tanzania Premier League
Soka
soccer
football
Tanzania
michezo
ligi
ligi kuu
Azam
Azam TV
Azam TV App
Goli
bao
magoli
mabao
goals
Yanga
Yanga vs Lipuli
Lipuli FC
Makambo