Mwalimu mkuu atuhumiwa kuuza chakula cha wanafunzi

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=pkJMhvkLOkI



Duration: 2:46
422 views
2


Wakazi wa kijiji cha Nyumbanitu wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe wamemjia juu Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Nyumbanitu wakimtuhumu kuhujumu mali za shule pamoja na kuuza chakula cha wanafunzi ambacho kimechangiwa na Wazazi.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari