Hifadhi ya Taifa ya Serengeti yaanza kutumia magari ya umeme

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=hdPqDNLruN4



Duration: 3:45
2,921 views
21


Teknolojia mpya ya Magari yanayotumia umeme imetambulishwa rasmi ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti eneo la Grumet Hills ambapo kwa sasa magari hayo yanawapeleka watalii kwenye maeneo mbalimbali ya hifadhi hiyo kubwa Duniani.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari
Hifadhi ya taifa ya Serengeti
Magari ya umeme hifadhi ya taifa ya serengeti
Grumet Hills