Aliyembaka binti yake na kumsababishia ujauzito ahukumiwa miaka 30 jela

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=S8ENQKqsNqU



Duration: 2:18
1,112 views
9


Mahakama Kuu kanda ya Tabora leo imemhukumu kwenda Jela miaka Thelathini, Sadick Jafary aliyetiwa hatiani kwa kumbaka binti yake mwenye umri wa miaka kumi na sita na kisha kumsababishia ujauzito.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari
Ubakaji