Museveni awataka polisi kutopiga raia ila ikibidi wawapige

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=RGTl0hdTro8



Duration: 3:15
130 views
2


Kauli ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni imezua mjadala mkubwa kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Kampala pale aliposema kupitia ukurasa wake wa Facebook kuwa maafisa wa Polisi hawatakiwa kutumia nguvu kukamata wahalifu lakini pale inapobidi kutumia nguvu basi watumie tu.
Kassim Kayira amezungumza na wananchi na wanaharakati







Tags:
Yoweri Museveni
Vurugu Uganda
Kassim Kayira Uganda
Siasa Uganda
Habari Uganda