Kaya 800, vitongoji vitano vyategemea bomba 1 wilayani Babati

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=UyqoDAlr8-Y



Duration: 2:36
243 views
3


Wakazi wa vitongoji vitano vyenye kaya zaidi ya 800 kwenye kijiji cha Dagailoi kilichopo wilayani Babati mkoani Manyara wanategemea maji kutoka kwenye bomba moja hali inayopelekea wakazi hao kutumia muda mrefu kwenye maji.







Tags:
Maji ni uhai
Maji Dagailoi
Maji Babati
siasa Babati
Chanzo cha maji Dagailoi
Upimaji wa maji
Mradi wa maji