Watakaochelewesha pembejeo kwa wakulima kukiona

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=OMxjhnTuoUE



Duration: 2:05
138 views
3


Serikali amesema haitavumilia kuona mkulima nacheleweshewa kupata pembejeo wakati huu wa kuelekea msimu wa kilimo. Naibu waziri wa kilimo Dr.Mary Mwanjelwa amesema kwamba utekelezaji wa mpango mkakati wa Serikali ni kuhakikisha wakulima wanapata pembejeo kiurahisi kwa bei elekezi na ikiwa ni zenye ubora unaotakiwa.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Rose Mrutu
Raymond Nyamwihula