Gambo 'atimua' afisa masoko anayetuhumiwa kwa unyanyasaji

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=J-8NsMH7gr4



Duration: 1:42
702 views
3


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameuagiza uongozi wa wilaya kumpangia kazi nyingine afisa biashara wa soko la Tengeru na soko la Usariva, Emmanuel Nnko baada ya wafanyabiashara wadogo katika masoko hayo kulalamika kwa Gambo kuwa anawafanyia vitendo vya unyanyasaji.
Sambamba na hilo pia Gambo ametaka wanamgambo wanaotuhumiwa kuwanyanyasa wafanyabiashara hao hivyo kukiuka maagizo ya Rais John Magufuli katika kutekeleza majukumu yao pia wachukuliwe hatua.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Ramadhan Mvungi
Mrisho gambo
Jery Muro
rais John Magufuli