Tanzania yapatahofu kuitambua jamii ua Wakamba

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=T5zicGKUTs0



Duration: 2:51
1,673 views
14


Licha ya jamii ya Wakamba wanaoishi katika vijiji vya Kibanda Hasara na Kwamandara katika mpaka wa Tanzania na Kenya upande wa Holili kudai kuwa ni watanzania lakini serikali katika wilaya ya Rombo imepata hofu kuwatambua.

Inadaiwa kuwa Wakamba hao wamekuwepo katika maeneo hayo tangu mwaka 1972 na wamekuwa hawajulikani rasmi kama ni raia wa Kenya au Tanzania.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Rose Mrutu
Raymond Nyamwihula
vijiji vya Kibanda Hasara na Kwamandara
paka wa Tanzania na Kenya upande wa Holili
jamii ya wakamba