Majeruhi wa ajali ya treni wafikia 14

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=oDFezMyDaxs



Duration: 0:51
463 views
1


Watu 14 wamejeruhuwa hii leo jijini Dar es Salaam katika ajali ya Treni inayofanya safari zake kati ya Pugu na Dar es Salaam.

Ajali hiyo imetokea eneo la Majumba Sita, Ukonga ambako mabehewa mawili yaliacha njia wakati Treni hiyo ikiwa njiani kutoka Pugu kuelekea stesheni kuu ya treni katikati ya jiji la Dar Es Salaam.

Taarifa za majeruhi hao zimethibitishwa na Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Amana Daktari Meshack Shemwela na kutueleza kuwa majeruhi hao wanaendelea vyema na matibabu.




Other Videos By Azam TV


2018-11-02Msichana afanya maajabu katika matokeo-kutoka division zero hadi division 1 ya point 14.
2018-11-02KIPYENGA CHA MWISHO 01/11/2018: Osman Kazi angeweza kuchezesha Kombe la Dunia kwa kiwango hiki
2018-11-02Vijana wafunzwa namna ya kupata mikopo na pembejeo
2018-11-02Serikali kutenga mabilioni kumaliza shida ya maji Bumbuli
2018-11-02Wakazi wa Rukwa waswa kutumia maktaba
2018-11-02Mwili wa Mwanahabari Samadu Hassan kuzikwa leo
2018-11-02SZIFF2019 TANGA: Filamu kuchezwa kwenye THEATER kuna manufaa zaidi kwa wasanii?
2018-11-02SZIFF2019 MOROGORO: Unaweza kushinda bila kushindana? Majibu yako ndani ya Morogoro
2018-11-02Rais Magufuli afunguka usiyoyajua juu ya ndoa yake
2018-11-02SZIFF2019 MBEYA: Sugu atema cheche kwa wasanii na kuonyesha utofauti wa SZIFF na tuzo nyingine
2018-11-02Majeruhi wa ajali ya treni wafikia 14
2018-11-02Rais Magufuli afunga mjadala suala la katiba mpya
2018-11-01Prof. Kitila: Uchumi huu umekuwa ukikua bila kuondoa umasikini
2018-11-01Kitila: Elimu bila ada ilianza kutekelezwa siku ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya 5
2018-11-01HABARI - AZAM TV 1/11/2018
2018-11-01MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 1/11/2018
2018-11-01Abiria wa treni walalamikia ubora wa huduma, kukwamishwa njiani
2018-11-01JPM agoma kutenga fedha za mchakato wa katiba mpya
2018-11-01USHUHUDA: Mimba ya utotoni ilivyoharibu ndoto za elimu za binti huyu
2018-11-01Mbowe akwamisha kesi ya viongozi wa CHADEMA
2018-11-01Majaliwa atatua mgogoro wa miaka mitano, kiwanda cha chai Mponde chafunguliwa



Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari Azam Tv
Habari
Adhuhuri Live