Rais Magufuli afunga mjadala suala la katiba mpya

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=Tt3vKg3-lCw



Duration: 1:40
492 views
1


Rais Magufuli amesema hayuko radhi kutenga kiasi chochote cha fedha kwa ajili ya katiba mpya. “Ninajua hamu ya Watanzania juu ya katiba mpya…tusitumie hela za kuwapeleka watu bungeni wakalipane posho…tunataka hizo hela zikajenge Stiegiler’s Gorge…tunakaa tunabishana bishana kama vile katiba ndiyo ‘solution’ ya kila kitu.”







Tags:
Azam tv
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari
Kongamano La Uchumi
Kongamano
Rais Magufuli
Katiba mpya
Rais Magufuli na katiba mpya