Prof. Kitila: Uchumi huu umekuwa ukikua bila kuondoa umasikini

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=1VBlS1JOGl4



Duration: 2:40
461 views
1


Prof. Kitila Mkumbo amefunguka na kueleza mambo ambayo serikali ya awamu ya tano imeyarithi kutoka awamu zilizopita, na kusema kuwa wakati serikali ya Rais Magufuli ikiingia madarakani, imekuta uchumi ambao umekuwa ukukua bila kupunguza umasikini.







Tags:
Azam tv
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari
Kongamano La Uchumi
Kongamano
Rais Magufuli
Kitila Mkumbo
Prof. Kitila
Rais Benjamin Mkapa
Mwalimu Nyerere
Mzee Mwinyi