HABARI - AZAM TV 1/11/2018

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=hlN3CheNM1A



Duration: 48:26
3,375 views
12


Rais John Magufuli akataa kutenga fedha kwa ajili ya mchakato wa Katiba Mpya asema bado kuna huduma za jamii zinahitaji fedha hizo na Waziri Mkuu, Majaliwa amaliza mgogoro wa miaka mitano kiwanda cha chai Tanga.
Kwa hayo na mengine mengi ungana na Azam News ukiwa na Charles Hilary na Ivona Kamuntu.







Tags:
Azam News
John Magufuli
Rais Magufuli
Siasa
Maisha
Mgogoro wa kiwanda
elimu
mimba za utotoni