Huku Uganda, mwanaume hazikwi mpaka afanyiwe tohara

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=oFmIj1tsYjM



Duration: 4:03
3,149 views
7


Nchini Uganda na hasa mashariki mwa nchi hiyo, huu ni mwaka wa utamaduni wa Imbalu ambapo vijana wanafanyiwa tohara ikiwa ni njia ya kuwatoa utotoni na kuwafanya wanaume.

Ni utamaduni unaoendelezwa kwa lengo la kuhamasisha tohara kwani hata wanaume wanaojificha kutimiza hatua hiyo ya kimila wanasakwa popote pale walipo na kunyiwa tohara.

Moja ya vitu vinavyoonekana kustaajabisha zaidi ni pale ambapo mwanaume ambaye hajapitia hatua hiyo, anapofariki hazikwi mpaka afanyiwe tohara.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Rose Mrutu
Raymond Nyamwihula
tohara Uganda
utamaduni wa Imbalu