HABARI - AZAM TV 7/9/2018

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=Lmdx2cFY91M



Duration: 42:56
3,699 views
19


Rais Magufuli amesema wananchi wa mji wa Nyamongo wanaosubiri kulipwa fedha na Mgodi wa Acacia North Mara kamwe hawatalipwa fedha hizo huku akimuagiza Mkuu wa mkoa na watendaji wengine kuhakikisha wale wote waliotegesha makazi hawapati nafasi ya kulipwa.

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia ajali iliyoua watu 11 Jijini Mbeya na wengine 15 kujeruhiwa iliyohusisha magari matano likiwemo gari dogo la abiria (Daladala) iliyotokea katika Mlima Igawilo mkoani humo.

Jamii ya wavuvi kwenye fukwe ya Kunduchi jijini Dar es Salaam watoa madai ya vitendo vya kupigwa na kusumbuliwa na vyombo vya usalama jambo walilodai limesababisha kusitisha shughuli za uvuvi katika eneo hilo kwa takriban siku Tano.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Rose Mrutu
Raymond Nyamwihula
Rais Magufuli
Ziara ya Rais Magufuli