Ajali yaua 11 Mbeya, Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=Ts2Y7CrT6vU



Duration: 2:59
30,856 views
71


Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia ajali iliyoua watu 11 Jijini Mbeya na wengine 15 kujeruhiwa iliyohusisha magari matano likiwemo gari dogo la abiria (Daladala) iliyotokea katika Mlima Igawilo mkoani humo. Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa mkoa huo.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Rose Mrutu
Raymond Nyamwihula
ajali mbeya
ajali yaua 11 mbeya