Lukuvi: Wakazi waliovamia eneo la mwekezaji kutobomolewa

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=Nn-ccf4CiN0



Duration: 3:27
976 views
6


Katika hali isiyokuwa ya kawaida Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi amesema serikali haitabomoa nyumba za wakazi waliovamia katika eneo la mwekezaji Toksi Hans lililopo Pugu stesheni Jijini Dar es salaam na badala yake wamewaruhusu kuishi kwa masharti ya kulipa fidia kidogo kidogo kwa mwekezaji huyo kwa gharama za kiwanja kulingana na ukubwa wa nyumba ya mhusika.







Tags:
Waziri William Lukuvi
Uvamizi wa viwanja Pungu
Pugu stesheni Jijini Dar es salaam
Toksi Hans
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Rose Mrutu
Raymond Nyamwihula