Maboresho ya barabara Sumbawanga wafurahisha wakazi

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=kXMBBEkAHkw



Duration: 3:11
7,977 views
37


Wakazi wa mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa wameridhishwa na uboreshwaji wa barabara kwa kiwango cha lami hali inayopelekea huduma nyingi za kijamii kufikiwa kwa wepesi hivyo kupunguza ukali wa maisha unaotokana na matumizi ya barabara.







Tags:
Barabara Rukwa
Barabara Sumbawanga
siasa
Maendeleo Sumbawanga
Usafiri
Biashara