MAGOLI YOTE; KMC 3-0 NDANDA SC (TPL - 31/10/2018)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=RbkVgXAWnn4



Duration: 3:22
11,018 views
25


James Msuva ambaye ni ndugu wa Saimon Msuva amefunga mabao mawili katika ushindi wa mabao 3-0 iliyoupata KMC dhidi ya Ndanda FC.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara umepigwa leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo Msuva aliyetokea benchi amefunga bao la pili dakika ya 60 na bao la tatu dakika ya 76.

Bao la kwanza la KMC ambayo iliutawala zaidi mchezo wa leo limefungwa na Omary Ramadhan dakika ya 14 ya mchezo.
Haya hapa mabao yote.







Tags:
Tanzania Premier League
Soka
soccer
football
Tanzania
michezo
ligi
ligi kuu
Azam
Azam TV
Azam TV App
Goli
bao
magoli
mabao
goals
KMC
Ndanda SC
KMC vs Ndanda
Msuva
Uhuru
Dar es Salaam