Kampuni ya SSB yapata vyeti vinne vya kimataifa vya ubora wa uzalishaji bidhaa

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=HZc3j7l6eCg



Duration: 3:36
80 views
1


Kampuni ya Said Salim Bakhresa inayozalisha unga kwa ajili ya matumizi ya binadamu imepewa vyeti vya kimataifa vya ubora (ISO) kwenye maeneo ya ubora wa unga unaozalishwa, udhibiti wa usalama wa ungana ubora wa mazingira ya uzalishaji wa bidhaa hizo.







Tags:
SSB
Said Salim Bakhresa Group of Companies
SSB receives ISO certificates
SSB Group of companies receives ISO certificates