Jumuiya ya wanaougua Kisukari waomba kituo cha msaada Zanzibar

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=UrWUAuT6k4o



Duration: 2:00
855 views
10


Jumuiya ya watu wanaougua ugonjwa wa kisukari visiwani Zanzibar wameiomba serikali ya visiwani humo kuwajengea kituo cha kuwapa huduma za vipimo, dawa na mahitaji mengine kwa wepesi zaidi.







Tags:
Diabetes Zanzibar
Kisukari Zanzibar
Siku ya Kisukari Duniani