Vijana wafunzwa namna ya kupata mikopo na pembejeo

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=gkSCDf-PzKg



Duration: 2:42
172 views
1


Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wa sekta hiyo wanaendesha mafunzo ya kilimo biashara kwa vijana 60 kutoka mikoa saba ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini yakilenga kuwawezesha kupata fursa zilizopo kwenye maeneo yao na jinsi ya kuzitumia ikiwemo upatikanaji wa mikopo na pembejeo.




Other Videos By Azam TV


2018-11-02RC Mara aingilia kati sakata la uharibifu wa Uwanja wa Karume, atoa maelekezo
2018-11-02AFRICAN LYON 2-0 LIPULI FC; HIGHLIGHTS (02/11/2018)
2018-11-02“Tunapiga mpaka pasi 100 sasa hivi” - Manara atoa onyo kwa JKT Tanzania
2018-11-02EXCLUSIVE: “Tutajumuika naye” - Kocha Amunike azungumzia pengo la Samatta Taifa Stars
2018-11-02MAGOLI: AFRICAN LYON 2-0 LIPULI FC (02/11/2018)
2018-11-02MORNING TRUMPET: Mbinu anazatumia RC Agrey Mwanry kutekeleza maagizo ya serikali
2018-11-02MAGOLI: STAND UNITED 1-2 COASTAL UNION (TPL - 02/11/2018)
2018-11-02JPM alizuia michango kero shuleni hakuzuia wazazi kuwajibika kwa ajili ya watoto wao
2018-11-02Msichana afanya maajabu katika matokeo-kutoka division zero hadi division 1 ya point 14.
2018-11-02KIPYENGA CHA MWISHO 01/11/2018: Osman Kazi angeweza kuchezesha Kombe la Dunia kwa kiwango hiki
2018-11-02Vijana wafunzwa namna ya kupata mikopo na pembejeo
2018-11-02Serikali kutenga mabilioni kumaliza shida ya maji Bumbuli
2018-11-02Wakazi wa Rukwa waswa kutumia maktaba
2018-11-02Mwili wa Mwanahabari Samadu Hassan kuzikwa leo
2018-11-02SZIFF2019 TANGA: Filamu kuchezwa kwenye THEATER kuna manufaa zaidi kwa wasanii?
2018-11-02SZIFF2019 MOROGORO: Unaweza kushinda bila kushindana? Majibu yako ndani ya Morogoro
2018-11-02Rais Magufuli afunguka usiyoyajua juu ya ndoa yake
2018-11-02SZIFF2019 MBEYA: Sugu atema cheche kwa wasanii na kuonyesha utofauti wa SZIFF na tuzo nyingine
2018-11-02Majeruhi wa ajali ya treni wafikia 14
2018-11-02Rais Magufuli afunga mjadala suala la katiba mpya
2018-11-01Prof. Kitila: Uchumi huu umekuwa ukikua bila kuondoa umasikini



Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari Azam Tv
Habari
Adhuhuri Live