SZIFF2019 TANGA: Filamu kuchezwa kwenye THEATER kuna manufaa zaidi kwa wasanii?

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=fgrQ5Sj3uY4



Duration: 16:05
226 views
0


Ndani ya mkoa wa Tanga kikosi kazi cha SZIFF2019 kilikutana na wasanii wakongwe na chipukizi na mmoja wa walioleta mvuto mkubwa zaidi ni mtunzi maarufu wa riwaya, Amri Bawji ambaye sasa amerithiwa na mtoto wake.
Amerithiwa nini?
Tazama safari hii lakini la kukupa faraja na funzo kwa wasanii, funzo la kutumia kumbi za kuonyesha filamu au maarufu kama theater katika kuonyesha kazi zao na kuzitangaza zaidi.
Je, mwamko wa wasanii na wazalishaji sanaa za filamu ukoje mkoani Tanga, ungana na SZIFF2019.




Other Videos By Azam TV


2018-11-02MAGOLI: AFRICAN LYON 2-0 LIPULI FC (02/11/2018)
2018-11-02MORNING TRUMPET: Mbinu anazatumia RC Agrey Mwanry kutekeleza maagizo ya serikali
2018-11-02MAGOLI: STAND UNITED 1-2 COASTAL UNION (TPL - 02/11/2018)
2018-11-02JPM alizuia michango kero shuleni hakuzuia wazazi kuwajibika kwa ajili ya watoto wao
2018-11-02Msichana afanya maajabu katika matokeo-kutoka division zero hadi division 1 ya point 14.
2018-11-02KIPYENGA CHA MWISHO 01/11/2018: Osman Kazi angeweza kuchezesha Kombe la Dunia kwa kiwango hiki
2018-11-02Vijana wafunzwa namna ya kupata mikopo na pembejeo
2018-11-02Serikali kutenga mabilioni kumaliza shida ya maji Bumbuli
2018-11-02Wakazi wa Rukwa waswa kutumia maktaba
2018-11-02Mwili wa Mwanahabari Samadu Hassan kuzikwa leo
2018-11-02SZIFF2019 TANGA: Filamu kuchezwa kwenye THEATER kuna manufaa zaidi kwa wasanii?
2018-11-02SZIFF2019 MOROGORO: Unaweza kushinda bila kushindana? Majibu yako ndani ya Morogoro
2018-11-02Rais Magufuli afunguka usiyoyajua juu ya ndoa yake
2018-11-02SZIFF2019 MBEYA: Sugu atema cheche kwa wasanii na kuonyesha utofauti wa SZIFF na tuzo nyingine
2018-11-02Majeruhi wa ajali ya treni wafikia 14
2018-11-02Rais Magufuli afunga mjadala suala la katiba mpya
2018-11-01Prof. Kitila: Uchumi huu umekuwa ukikua bila kuondoa umasikini
2018-11-01Kitila: Elimu bila ada ilianza kutekelezwa siku ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya 5
2018-11-01HABARI - AZAM TV 1/11/2018
2018-11-01MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 1/11/2018
2018-11-01Abiria wa treni walalamikia ubora wa huduma, kukwamishwa njiani



Tags:
SZIFF2019
SZIFF2019Tanga
LughaMojaTamashaMoja
Sanaa ya filamu
Tamasha Kubwa zaidi Afrika Mashariki
Sinema Zetu International Film Festival
Bongo movie