SZIFF2019 MBEYA: Sugu atema cheche kwa wasanii na kuonyesha utofauti wa SZIFF na tuzo nyingine

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=gm3OADS0914



Duration: 22:52
507 views
4


Waziri kivuli wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu anazielezea tuzo za SINEMA ZETU 2019, mbali ya kupongeza namna zilivyoandaliwa na kuendeshwa lakini hajakosa neno kwa wasanii na sanaa nzima.
Mbali ya Sugu, maprodyuza, wasanii na maafisa mbalimbali wamezielezea tuzo za SZIFF2018 na matarajio yao kwenye SZIFF2019.
Nini wanasema, ungana na kikosi kazi cha SZIFF 2019 kikiwa mkoani Mbeya.




Other Videos By Azam TV


2018-11-02JPM alizuia michango kero shuleni hakuzuia wazazi kuwajibika kwa ajili ya watoto wao
2018-11-02Msichana afanya maajabu katika matokeo-kutoka division zero hadi division 1 ya point 14.
2018-11-02KIPYENGA CHA MWISHO 01/11/2018: Osman Kazi angeweza kuchezesha Kombe la Dunia kwa kiwango hiki
2018-11-02Vijana wafunzwa namna ya kupata mikopo na pembejeo
2018-11-02Serikali kutenga mabilioni kumaliza shida ya maji Bumbuli
2018-11-02Wakazi wa Rukwa waswa kutumia maktaba
2018-11-02Mwili wa Mwanahabari Samadu Hassan kuzikwa leo
2018-11-02SZIFF2019 TANGA: Filamu kuchezwa kwenye THEATER kuna manufaa zaidi kwa wasanii?
2018-11-02SZIFF2019 MOROGORO: Unaweza kushinda bila kushindana? Majibu yako ndani ya Morogoro
2018-11-02Rais Magufuli afunguka usiyoyajua juu ya ndoa yake
2018-11-02SZIFF2019 MBEYA: Sugu atema cheche kwa wasanii na kuonyesha utofauti wa SZIFF na tuzo nyingine
2018-11-02Majeruhi wa ajali ya treni wafikia 14
2018-11-02Rais Magufuli afunga mjadala suala la katiba mpya
2018-11-01Prof. Kitila: Uchumi huu umekuwa ukikua bila kuondoa umasikini
2018-11-01Kitila: Elimu bila ada ilianza kutekelezwa siku ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya 5
2018-11-01HABARI - AZAM TV 1/11/2018
2018-11-01MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 1/11/2018
2018-11-01Abiria wa treni walalamikia ubora wa huduma, kukwamishwa njiani
2018-11-01JPM agoma kutenga fedha za mchakato wa katiba mpya
2018-11-01USHUHUDA: Mimba ya utotoni ilivyoharibu ndoto za elimu za binti huyu
2018-11-01Mbowe akwamisha kesi ya viongozi wa CHADEMA



Tags:
Sugu
SZIFF2019
LughaMojaTamashaMoja
Sinema Zetu
Filamu za Bongo
Bongo Movies
Joseph Mbilinyi
Sinema Zetu International Film Festival