Benki ya Dunia yaipa Tanzania mkopo wa Trilioni 1. 8

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=i_5w7WtNKVI



Duration: 2:29
489 views
3


Benki ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa Shilingi Trilioni 1.8 kwa ajili ya sekta ya Nishati na Maji nchini ambapo Shilingi trilioni 1.04 zimetengwa kwa ajili ya usambazaji wa umeme huku Shilingi Bilioni 800 ni kwa ajili ya maji.

Akizungumza wakati wa kutiliana saini Mkopo huo kwa niaba ya Serikali Katibu mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Doto James amesema mkopo huo ni wa masharti nafuu na unalipwa ndani ya miaka 40 bila kuwa na riba hivyo akawataka wasimamizi kuusimamia vyema.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Tanzania ya yapata mkopo toka benki ya Dunia
Benki ya Dunia
BoT
World Bank
Katibu mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Doto James