Jeshi ladaiwa kushusha kipigo kwa wavuvi fukwe ya Kunduchi

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=NLpG-IKrMLI



Duration: 2:57
1,531 views
8


Jamii ya wavuvi kwenye fukwe ya Kunduchi jijini Dar es Salaam watoa madai ya vitendo vya kupigwa na kusumbuliwa na vyombo vya usalama jambo walilodai limesababisha kusitisha shughuli za uvuvi katika eneo hilo kwa takriban siku Tano.







Tags:
Jeshi lapiga wavuvi
Wavuvi kunduchi wapigwa na jeshi
Jeshi la Polisi
JWTZ
Jeshi la wananchi
Kunduchi jijini Dar es Salaam
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Rose Mrutu
Raymond Nyamwihul