Bunge lawajia juu wabunge watoro, lawakata posho zao

Channel:
Subscribers:
2,630,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=RAJTlS2VmUY



Duration: 3:55
644 views
0


Kaimu Mnadhimu wa Serikali amesema wabunge ambao hawajahudhuria kikao cha nne cha bunge bila kutoa taarifa za udhuru watakatwa posho zao.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa majadiliano ya muswada wa sheria ya mabadiliko ya sheria mbalimbali namba 2 ya mwaka 2018.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Bunge la Tanzania
Wabunge watoro
Posho za wabunge
Kutoka Bungeni
Mawali na majibu Bungeni