Hii ndiyo morali ya wachezaji Mbao FC a.k.a Burnley msimu huu (MAKALA – TPL 2018/19)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=Ky5mZUlgmDE



Duration: 15:45
2,846 views
20


Tazama mahojiano ya wachezaji wa Mbao FC, wao kwa wao ikiwa ni sehemu ya matayarisho ya msimu mpya wa Ligi.

Wachezaji hao wamezungumza walivyojiandaa, wameeleza malengo yao, wamemzungumzia kocha wao mpya Amri Said, wamegusia sababu za majina yao ya utani na wengine wameeleza sababu za kuchagua jezi walizopewa Mbao FC.

Baadhi ya wachezaji hao ni pamoja na Abubakary Ngalema, Herbet Lukindo, Rajesh Kotecha na wengine wapya waliojiunga na timu hiyo msimu huu




Other Videos By Azam TV


2018-09-07Lukuvi: Wakazi waliovamia eneo la mwekezaji kutobomolewa
2018-09-07Jeshi ladaiwa kushusha kipigo kwa wavuvi fukwe ya Kunduchi
2018-09-07Bunge lawajia juu wabunge watoro, lawakata posho zao
2018-09-07Mgambo waliomshambulia mkazi wa Bunju wakana shitaka
2018-09-07Benki ya Dunia yaipa Tanzania mkopo wa Trilioni 1. 8
2018-09-07YANGA TV: Uongozi wa Yanga watoa kauli sakata la kiungo wake kufungiwa na FIFA (Ep. 13)
2018-09-07NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Kaduguda aeleza siasa ilivyoharibu soka la Afrika Mashariki
2018-09-07Kipa Singida United: Napenda sana kuhonga (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-07JPM amuonya Mwenyekiti CCM wilaya kupiga kelele kwenye mitandao
2018-09-07Thobias Kifaru alivyohusika kutoa jina la ‘Mtibwa Sugar’, asimulia chimbuko lake (MAKALA - TPL)
2018-09-07Hii ndiyo morali ya wachezaji Mbao FC a.k.a Burnley msimu huu (MAKALA – TPL 2018/19)
2018-09-07Nilipotangazwa nimeshinda kuwa Rais, niliumia – Rais Magufuli
2018-09-07DC aponea chupuchupu kutumbuliwa na JPM
2018-09-07Rais Magufuli: Siku mkinifukuza CCM nitaenda Chato nikachunge Mbuzi
2018-09-07Uhaba wa maji safi yawatesa wananchi Tunduma
2018-09-07Wananchi Arusha wapata maji yenye tope, RC Gambo aingilia kati
2018-09-07BUNGENI: Dakika 12 wabunge wakimkaba koo Waziri Mwijage, sakata la sukari.
2018-09-07Rais Magufuli ataja sababu ya 'kumtumbua' Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU (07/09/2018)
2018-09-07Rais Magufuli ataja kinachomkera kutoka kwa wapinzani bungeni, amkaribisha mmoja CCM
2018-09-07Fahamu historia ya beki wa Stand United, Niyonkuru Nassor (MAKALA – TPL 2018/19)
2018-09-07Hii ndiyo mikakati ya Stand United msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (MAKALA – TPL 2018/19)



Tags:
Mbao FC
Mwanza
Mbao
wachezaji
michezo
ligi
Ligi Kuu Tanzania Bara
Azam TV
soka
Azam Sports
Philip Cyprian
Tanzania Premier League