Kipa Singida United: Napenda sana kuhonga (MAKALA - TPL 2018/19)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=RGDffALUMVE



Duration: 29:23
4,186 views
21


Jamal Mwambeleko ndiye mtangazaji kwenye kipindi hiki, na kazi kubwa aliyofanya ni kuwahoji wachezaji wenzake kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu soka na nje ya soka ikiwemo maisha yao binafsi.

Katika mahojiano haya, kuna mchezaji mmoja amesema kuwa yeye anapenda sana kuhonga wanawake. Hebu yafuatilie kwa umakini, kisha taja jina kamili la mchezaji huyo.

Wengi wameelezea jinsi ambavyo wamejipanga kuipa timu hiyo ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, huku wakitaja sababu za wao kuwa mabingwa msimu huu wa 2018/19.

Pia wamezungumza kuhusu maisha yao binafsi ikiwemo ushiriki wao kwenye mitandao ya kijamii pamoja na mahusiano yao ya kimapenzi.

Baadhi ya wachezaji waliozungumza ambao asilimia kubwa ni wapya, ni pamoja na Tiba John, Rajab Zahir, Jamal Mwambeleko, Boniphace Maganga, Habib Kiyombo, Kennedy Juma, Yusuph Kagoma, David Kissu,




Other Videos By Azam TV


2018-09-07Taifa Stars kesho ugenini kukabiliana na Uganda
2018-09-07Rais Magufuli atema chehe Mkoani Mara
2018-09-07Manara awataka mashabiki wa Simba kuiunga mkono Taifa Stars
2018-09-07Lukuvi: Wakazi waliovamia eneo la mwekezaji kutobomolewa
2018-09-07Jeshi ladaiwa kushusha kipigo kwa wavuvi fukwe ya Kunduchi
2018-09-07Bunge lawajia juu wabunge watoro, lawakata posho zao
2018-09-07Mgambo waliomshambulia mkazi wa Bunju wakana shitaka
2018-09-07Benki ya Dunia yaipa Tanzania mkopo wa Trilioni 1. 8
2018-09-07YANGA TV: Uongozi wa Yanga watoa kauli sakata la kiungo wake kufungiwa na FIFA (Ep. 13)
2018-09-07NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Kaduguda aeleza siasa ilivyoharibu soka la Afrika Mashariki
2018-09-07Kipa Singida United: Napenda sana kuhonga (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-07JPM amuonya Mwenyekiti CCM wilaya kupiga kelele kwenye mitandao
2018-09-07Thobias Kifaru alivyohusika kutoa jina la ‘Mtibwa Sugar’, asimulia chimbuko lake (MAKALA - TPL)
2018-09-07Hii ndiyo morali ya wachezaji Mbao FC a.k.a Burnley msimu huu (MAKALA – TPL 2018/19)
2018-09-07Nilipotangazwa nimeshinda kuwa Rais, niliumia – Rais Magufuli
2018-09-07DC aponea chupuchupu kutumbuliwa na JPM
2018-09-07Rais Magufuli: Siku mkinifukuza CCM nitaenda Chato nikachunge Mbuzi
2018-09-07Uhaba wa maji safi yawatesa wananchi Tunduma
2018-09-07Wananchi Arusha wapata maji yenye tope, RC Gambo aingilia kati
2018-09-07BUNGENI: Dakika 12 wabunge wakimkaba koo Waziri Mwijage, sakata la sukari.
2018-09-07Rais Magufuli ataja sababu ya 'kumtumbua' Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU (07/09/2018)



Tags:
Singida United
Singida
Tiba John
Rajab Zahir
Jamal Mwambeleko
Boniphace Maganga
Habib Kiyombo
Kennedy Juma
Yusuph Kagoma
David Kissu
wachezaji
michezo
ligi
Ligi Kuu Tanzania Bara
Azam TV
soka
Azam Sports
Tanzania Premier League