WEDNESDAY NIGHT LIVE - Undani wa 'Mbio za magari a.k.a Rally huu hapa

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=SlMLP8mNA8o



Duration: 57:32
431 views
3


Umeshawahi kuyatazama mashindano ya magari?
Kwa taarifa yako, mchezo huo unahusisha zaidi ya ‘KULA VUMBI’.

Wednesday Night Live inaangazia kwa undani mashindano hayo na studioni yuko muandaaji wa kipindi cha #RacingShow cha #AzamSports2 na dereva wa mbio hizo Tufel.
Unataka kujua mengi yanayohusisha mchezo huu? Angalia kipindi hiki ‘hadi mwisho’.
Muandaaji Patrick Nyembera yuko na Michael Maluwe #Captain na dereva Tufel.
Wednesday Night Live ni kila Jumatano saa 3:30 usiku kupitia #AzamSports2.







Tags:
Wednesday Night Live
Michael Maluwe
Patrick Nyembera
Racing Show
Mbio za magari
Kula Vumbi
Guljit
Dalam Pandya
Tufel
Rally
Mzizima Rally
Kigamboni Rally
Arusha Rally