MAGAZETI AZAM TV 6/09/2018 - MORNING TRUMPET

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=2z3hbeogu4E



Duration: 14:41
184 views
2


Kurasa za mbele za magazeti ya leo zimepambwa na habari ya - Makonda ‘achokwa’ , Dk. Bashiru asema hakuna Dar ya Makonda aeleza msimamo wake. JPM ahitimisha kilio cha miaka 22, ashuhudia utiaji saini wa mikataba minne ya ujenzi wa meli , chelezo na ukarabati wa meli mbili za MV Butiama na MV Victoria Jijini Mwanza.
Katika kurasa za michezo, Vigogo Yanga wahojiwa TAKUKURU. Samata asema tutapambana hadi tone la mwisho. Tanzania mwenyeji mbio za nyika Afrika 2020







Tags:
Azam Tv
Azam TWO
Azam Sports2
Azam TV habari
habari Azam Tv
mwananchi
Tanzania Daima