JPM: Stiegler’s Gorge ikikamilika itaitwa 'Nyerere Gorge', kama ni kosa, potelea mbali

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=1Q4EDxWqggQ



Duration: 3:09
2,003 views
7


Rais Magufuli ametangaza rasmi kuwa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa Stiegler’s Gorge ukikamilika utaitwa ‘Nyerere Gorge’.

“Tukishafanikiwa huo mradi, hilo jina litapotea, tutaita Nyerere Gorge, utamuitaje Stiegler ambaye hujawahi hata kumuona… Nitalifuta hilo jina, kama nitafanya kosa, potelea mbali”.

Ni katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Septemba 6 kwenye Uwanja wa Mwenge wilayani Butiama, mkoani Mara.







Tags:
Magufuli
Butiama
ziara
Rais Magufuli
Mama Maria
Nyerere
Mwalimu Nyerere
mke
mama
wake
kiongozi
mkutano wa hadhara
Musoma
Azam TV
Nyerere Gorge
Gorge
Stieglier’s Gorge
Stiegler